Wizara
Hotuba Za Bajeti
Nifanyaje?
Maoni juu ya tovuti
Simiyu: Utekelezaji wa Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi Wafikia Asilimia 72
Utekelezaji wa Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi katika Mkoa wa Simiyu umefikia wastani wa asilimia 72, huku wadau wakikutana kujadili maendeleo ya utekelezaji wake na hatua zinazofuata...... Soma zaidi
Mradi wa Maji Dambia Haydom Kuwafikia Dongobesh
Naibu Waziri wa Maji, Mhe. Kundo Mathew (Mb), amewahakikishia wananchi wa Mkoa wa Manyara kuwa Serikali imejipanga kikamilifu kuhakikisha Mradi wa Maji wa Dambia–Haydom unakamilika na kuendelezwa hadi...... Soma zaidi
Wataalamu RUWASA Wapatiwa Mafunzo ya Uendeshaji na Matengenezo ya Skimu za Maji
Meneja wa Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) Mkoa wa Arusha, Mhandisi Joseph Makaidi, amefungua rasmi mafunzo ya uendeshaji na matengenezo ya skimu za maji kwa wataalamu wa RUWASA... Soma zaidi
RATIBA YA WIKI YA MAJI 22 MACHI 2025
RATIBA YA WIKI YA MAJI 22 MACHI 2025 Bofya ... Soma zaidi
Advertisements
Taarifa kuhusu mikutano mitatu ya sekta ya maji iliyofanyika Dodoma.
TAARIF... Soma zaidi
Karibu
Mnakaribishwa kwenye Tovuti ya Wizara ya Maji. Maji ni hitaji la msingi na haki kwa binadamu wote. Tafadhali yathamini, kuongeza matumizi yake na kuhifadhi kwa ajili ya mazingira. Kumbuka kwamba, maendeleo huja tu wakati kuna maji mengi yenye ubora. ...Soma zaidi

