Dhamira

Kuhakikisha rasilimali za maji zinasimamiwa, zinaendelezwa na zinatumika kwa njia endelevu na shirikishi ili kukidhi mahitaji mbalimbali kwa kuweka mfumo madhubuti wa kitaasisi wa kusimamia rasilimali za maji; na kuboresha miundombinu ya usambazaji majisafi na uondoaji majitaka