Albamu ya Video
Zaidi ya wakazi elfu 40 wilayani Nkasi kufaidi maji ya Ziwa Tanganyika Bombani
Zaidi ya wakazi elfu 40 wilayani Nkasi kufaidi maji ya Ziwa Tanganyika Bombani. Mradi huu ambao unatarajia kukamilika mwezi Agosti utawezesha maji kupatikana kwa asilimia mia
Imewekwa: Jan 04, 2021
Maji ya mabakuli yawa historia Mpanda
Maji ya mabakuli yawa historia Mpanda
Imewekwa: Jan 04, 2021
Aliyeongoza kidato cha sita akutana na wataalam wa Wizara ya Maji
Wakuu wa Vitengo vya Manunuzi na Ugavi wa Wizara ya Maji wametembelewa na wanafunzi wa Shule ya Sekondari Kisimiri akiwemo Joseph Isack Masambula aliyemaliza kidato cha sita shuleni hapo na kuongoza katika masomo ya sanaa.

Karema, Tanganyika: WANANCHI WAIKUBALI HUDUMA YA MAJI
Desemba 2020 ni uhakika kuwa tutakuwa tumewafikia asilimia 80 ya wananchi Kwa kuwapatia huduma ya majisafi na salama
Imewekwa: Jan 04, 2021