Habari

RUWASA Watakiwa Kutekeleza Miradi ya Maji kwa Wakati

Naibu Waziri wa Maji, Jumaa Aweso amewataka Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) kutekeleza miradi ya maji na kumaliza tatizo la maji kwa wananchi kwa wakati.... Soma zaidi

Imewekwa: Dec 10, 2019

Wizara ya Maji kutoa Vibali vya Miradi ya Maji Sengerema

Wizara ya Maji imetangaza itatoa vibali kwa ajili ya kuanza kazi ya utekelezaji wa miradi ya maji ya Sima, Nyasigu, Lubungo na Ngoma katika Wilaya ya Sengerema, mkoani Mwanza.... Soma zaidi

Imewekwa: Dec 05, 2019

Naibu Waziri Aweso avunja Bodi ya Mamlaka ya Maji ya Mji Mdogo Misungwi

Naibu Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Aweso (Mb) amevunja Bodi ya Mamlaka ya Maji ya Mji Mdogo Misungwi (MIUWASA) kutokana na uendeshaji na usimamizi usioridhisha hali iliyosababisha huduma ya maji katika mji wa Misungwi kuzorota na kuwa kero kwa wananchi.... Soma zaidi

Imewekwa: Dec 04, 2019

Wizara ya Maji Yaweka Kambi Misungwi kutatua Changamoto ya Maji

Uongozi wa Wizara ya Maji ukiongozwa na Naibu Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Aweso (Mb) akiwa na Naibu Katibu Mkuu, Mhandisi Anthony Sanga pamoja na wataalam wa Wizara ya Maji wameweka kambi katika Wilaya ya Misungwi kwa lengo la kutafuta ufumbuzi wa Mradi wa Maji Mbalika, mkoani Mwanza.... Soma zaidi

Imewekwa: Dec 04, 2019

Bilioni 8.26 kutatua tatizo la maji Bukene Nzega

Serikali imepanga kutumia shilingi bilioni 8.26 kufikisha majisafi na salama kwa wananchi wa Kata ya Bukene, wilayani Nzega katika mkoa wa Tabora kwa kutumia maji ya mradi mkubwa wa maji wa Ziwa Viktoria umbali wa kilomita 34 ili kutatua changamoto kubwa ya maji inayoikabili kata hiyo. ... Soma zaidi

Imewekwa: Nov 06, 2019

Waziri Mbarawa akagua miradi ya maji Sikonge, Urambo na Kaliua

Waziri wa Maji, Mhe. Prof. Makame Mbarawa (Mb) amefanya ziara katika Halmashauri tatu za mkoa wa Tabora ambapo amekagua utekelezaji wa miradi ya maji katika Halmashauri ya Wilaya ya Sikonge, Urambo na Kaliua. ... Soma zaidi

Imewekwa: Nov 05, 2019