Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara

1.Maji bora na salama

  • Ni maji ambayo yamehakikiwa ubora wake kifizikia, kikemikali na kibaolojia na kukidhi viwango vinavyokubalika kwa matumizi na usalama wa mlaji (mwananchi) na hayana athari za kiafya.
  • Mwananchi akihitaji kupima maji kabla ya matumizi anapaswa atembelee maabara iliyoko karibu na eneo au mkoa anaoishi, ambapo atapata maelekezo na ushauri kulingana na matumizi husika.
  • Huduma za kupima ubora wa maji zinapatikana maeneo yafuatayo kama ilivyoainishwa kwenye jedwali:

IDARA YA HUDUMA ZA UBORA WA MAJI

MAABARA ZA UBORA WA MAJI –MAHALI ZILIPO

JINA LA MAABARA

MAHALI ILIPO

MIKOA INAYOHUDUMIWA

Arusha

Chagga Street

Maji Yard

Arusha

Kilimanjaro (Rombo, Moshi, Hai, Siha, Moshi Vijijini)

Manyara (Babati, Mbulu, Hanang)

Bukoba

Kitekele Road,

Kashai Street

Maji Yard

Kagera

Geita (Chato)

Dar Es Salaam

Morogoro Road,

Ubungo

Dar Es Salaam

Pwani

Dodoma

Mkapa Road,

Uzunguni Street,

Block B, Plot no. 9

DUWASA Compound

Dodoma

Manyara (Kiteto, Simanjiro)

Iringa

Kihesa/Kilolo Street

TRM- Maji Office

Iringa

NJOMBE (Njombe, Makete, Ludewa Na Makambako)

Kigoma

Mnarani Area,

Lake Tanganyika Basin Office

Kigoma

Tabora (Urambo, Kaliua, Tabora MC)

Mbeya

Sinde road,

Maji Yard

Mbeya

Songwe

Morogoro

Mazimbu Road,

Maji Yard

Morogoro

Mtwara

Railway Street

Maji Yard

Mtwara

Lindi

Musoma

Nyerere road,

Baruti Street

Maji Yard

Mara

Mwanza

Igogo Street

Maji Yard

Mwanza

Geita

Simiyu (Busega)

Singida

Utemini Street

Maji Yard

Singida

Tabora (Igunga)

Manyara (Babati, Hanang)

Shinyanga

Mwanza Road

Ushirika Street

Maji Yard

Shinyanga

Tabora (Nzega, Tabora Tc, Uyui, Sikonge)

Simiyu (Meatu, Maswa, Bariadi)

Geita (Bukombe)

Songea

Mahenge Street

Maji Yard

Ruvuma

Sumbawanga

Izia Street

Maji Yard

Rukwa

Katavi

Tanga

Gofu Street

Pangani Basin Office

Near RC Office.

Tanga

Kilimanjaro ( Same, Mwanga)