Dira ya Wizara

Kuwa na Nchi yenye usalama wa maji ambapo watu wote wanapata maji ya kutosha na yaliyo bora kwa ajili ya kukidhi mahitaji ya kibinadamu, uchumi na mazingira.