Wizara
Hotuba Za Bajeti
Nifanyaje?
Maoni juu ya tovuti

Watumishi Wenye Sifa Waingizwe Kwenye Mfumo Wa E-Utumishi
Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Juma Mkomi, amezitaka Mamlaka za Majisafi na Usafi wa Mazingira pamoja na maafisa rasilimali watu kuhakikisha watumishi wote...... Soma zaidi

Mkurugenzi Mtendaji BUWASA Aridhishwa na Maendeleo ya Mradi wa Maji Nyamuswa
Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Bunda (BUWASA), Esther Gilyoma,ameridhishwa na maendeleo ya utekelezaji wa Mradi wa Maji wa Nyamuswa,... Soma zaidi

Mwenge wa Uhuru Wazindua Mradi wa Maji wa Zaidi ya Bilioni 3 Kagera
Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa, Ismail Ally Ussi, amezindua mradi wa upanuzi wa mtandao wa majisafi awamu ya pili wenye thamani ya zaidi ya Shilingi bilioni 3.15, mradi unaotekelezwa na...... Soma zaidi
RATIBA YA WIKI YA MAJI 22 MACHI 2025
RATIBA YA WIKI YA MAJI 22 MACHI 2025 Bofya ... Soma zaidi
Advertisements
Stakeholders Engagement Plan for Sustainable Rural Water Supply and Sanitation Program
Stakeholders Engagement Plan for RWSSP2 click Soma zaidi
Environmental and Social Commitment Plan for Sustainable Rural Water Supply and Sanitation Program 2
Environmental and Social Commitment Plan for SRWSSP2 Click Soma zaidi
ESMP for Financing Agreement for Dodoma Resilient and Sustainable Water Development and Sanitation Programme phase two (DRSWDSP II)
Environmental and Social Management Plan for DRSWDSP II click Soma zaidi
Karibu
Mnakaribishwa kwenye Tovuti ya Wizara ya Maji. Maji ni hitaji la msingi na haki kwa binadamu wote. Tafadhali yathamini, kuongeza matumizi yake na kuhifadhi kwa ajili ya mazingira. Kumbuka kwamba, maendeleo huja tu wakati kuna maji mengi yenye ubora. ...Soma zaidi