Wizara
Hotuba Za Bajeti
Nifanyaje?
Maoni juu ya tovuti
Teknolojia ya Kurejesha Majitaka kwa Matumizi Mengine Yajadiliwa na Wadau wa Sekta ya Maji
Wadau wa Sekta ya Maji wamejadili teknolojia na mbinu mbalimbali za kutibu na kurejesha majitaka kwa matumizi mengine yenye manufaa, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kuimarisha usimamizi endelevu wa rasi...... Soma zaidi
Sekta ya Maji Yapata Mafanikio Makubwa Katika Utekelezaji wa Miradi
Naibu Waziri wa Maji, Mhe. Mhandisi Mathew Kundo (Mb), amewapongeza watumishi wa Sekta ya Maji kwa mchango wao mkubwa katika utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maji nchini.... Soma zaidi
UNICEF Yaipa Kongole Tanzania Kwa Kupiga Hatua Kubwa Kwenye Huduma ya Maji na Usafi Wa Mazingira
Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF) limeipongeza Tanzania kwa kuendelea kupiga hatua kubwa katika kuboresha huduma za maji na usafi wa mazingira, hatua zinazotokana na uwekezaji...... Soma zaidi
RATIBA YA WIKI YA MAJI 22 MACHI 2025
RATIBA YA WIKI YA MAJI 22 MACHI 2025 Bofya ... Soma zaidi
Advertisements
PROVISION OF CONSULTANCY SERVICES FOR PROJECT PREPARATION
FEASIBILITY STUDIES, DETAILED DESIGN AND TENDER DOCUMENT PREPARATION FOR 24 VILLAGES IN NGERENGERE Click Soma zaidi
Karibu
Mnakaribishwa kwenye Tovuti ya Wizara ya Maji. Maji ni hitaji la msingi na haki kwa binadamu wote. Tafadhali yathamini, kuongeza matumizi yake na kuhifadhi kwa ajili ya mazingira. Kumbuka kwamba, maendeleo huja tu wakati kuna maji mengi yenye ubora. ...Soma zaidi

