Wizara
Hotuba Za Bajeti
Nifanyaje?
Maoni juu ya tovuti
Sekta ya Maji Yaazimia Kufanya Mageuzi Makubwa ya Kidigitali
Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Aweso (Mb), amesema Sekta ya Maji imejipanga kufanya mageuzi makubwa ya kidigitali kwa kuwekeza katika mifumo ya teknolojia ya habari na mawasiliano, kwa lengo la kuboresha...... Soma zaidi
Waziri Aweso Asisitiza Ufanisi na Tija kwa Bodi za Maji za Mabonde
Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Aweso (Mb), amezisistiza Bodi za Maji za Mabonde nchini kuimarisha ushirikiano wa karibu ili kuhakikisha ufanisi na matokeo yenye tija katika usimamizi wa rasilimali za maji...... Soma zaidi
Mhandisi Mwajuma Awataka Bodi ya Taifa ya Maji Kutembelea Miradi ya Maji
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Mhandisi Mwajuma Waziri, ameitaka Bodi ya Taifa ya Maji kutembelea miradi ya maji inayotekelezwa kwa lengo la kuongeza uelewa kuhusu Sekta ya Maji.... Soma zaidi
RATIBA YA WIKI YA MAJI 22 MACHI 2025
RATIBA YA WIKI YA MAJI 22 MACHI 2025 Bofya ... Soma zaidi
Advertisements
Taarifa kuhusu mikutano mitatu ya sekta ya maji iliyofanyika Dodoma.
TAARIF... Soma zaidi
Karibu
Mnakaribishwa kwenye Tovuti ya Wizara ya Maji. Maji ni hitaji la msingi na haki kwa binadamu wote. Tafadhali yathamini, kuongeza matumizi yake na kuhifadhi kwa ajili ya mazingira. Kumbuka kwamba, maendeleo huja tu wakati kuna maji mengi yenye ubora. ...Soma zaidi

