Maoni juu ya tovuti

80.65%
5.22%
14.13%
32.33%
17.29%
50.38%
34.25%
12.33%
53.42%
Generic placeholder image
Waziri Aweso Awataka Watendaji Kuleta Mageuzi katika Sekta ya Maji

Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Aweso (Mb) amewataka watendaji wote wa wizara kuhakikisha wanafanya mageuzi makubwa katika sekta ya maji ili kufanikisha lengo la kuwafikishia wananchi huduma ya majisafi, s...... Soma zaidi

Imewekwa: 14th Jan 2021
Generic placeholder image
Wahitimu wa Chuo cha Maji Kutumika katika Sekta ya Maji

Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso (Mb) amesema wahitimu wa fani mbalimbali katika Chuo cha Maji inapasa watumike katika sekta ya moja ili wananchi wafaidi utaalam walioupata... Soma zaidi

Imewekwa: 09th Jan 2021
Generic placeholder image
AWESO AMUAGIZA DC RORYA KUMSAKA MKANDARASI ALIYETEKELEZA MRADI WA MAJI KIROGO

AWESO AMUAGIZA DC RORYA KUMSAKA MKANDARASI ALIYETEKELEZA MRADI WA MAJI KIROGO... Soma zaidi

Imewekwa: 07th Jan 2021

Advertisements

Jarida Tando

Soma zaidi

Oct 27, 2020
Guidelines for Groundwater Exploration and Well Drilling

Soma zaidi

Oct 19, 2020
Dam Safety Guidelines

Soma zaidi

Sep 09, 2020

Karibu

Mnakaribishwa kwenye Tovuti ya Wizara ya Maji. Maji ni hitaji la msingi na haki kwa binadamu wote. Tafadhali yathamini, kuongeza matumizi yake na kuhifadhi kwa ajili ya mazingira. Kumbuka kwamba, maendeleo huja tu wakati kuna maji mengi yenye ubora. ...Soma zaidi

Vyanzo vya Maji Tanzania

Waliotembelea Tovuti