Albamu ya Video
Bodi za Wakurugenzi wa Mamlaka za Maji zapata mafunzo ili kuimarisha huduma za maji nchini.
Bodi za Wakurugenzi wa Mamlaka za Maji zapata mafunzo ili kuimarisha huduma za maji nchini.
Imewekwa: Sep 23, 2020
Sikiliza ujumbe wa Katibu Mkuu-Maji, kwa Bodi za Wakurugenzi wa Mamlaka za Maji nchini
Sikiliza ujumbe wa Katibu Mkuu-Maji, kwa Bodi za Wakurugenzi wa Mamlaka za Maji nchini
Imewekwa: Sep 23, 2020
Huduma ya maji yasiyo na madini ya Fluoride yafikishwa shule ya wasichana Mwedo mkoani Arusha
wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana Mwedo wameipongeza serikali kupitia wizara ya maji kwa kuwezesha kukamilika kwa mradi wa kuondoa madini ya fluoride katika maji. Mradi huo uliogharimu kiasi cha shilingi milioni 17.5 umetekelezwa na kituo cha Utafiti wa madini ya Fluoride Ngurudoto.
Imewekwa: Sep 23, 2020
UN yaikubali TZ usimamizi wa Rasilimali Maji na Usafi wa Mazingira
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Global Water Partinership Tanzania Dkt. Victor Kongo amesema Tanzania imefanya vizuri katika utekelezaji wa Malengo ya Maendeleo Endelevu ya Umoja wa Mataifa ya Usimamizi endelevu wa Rasilimali za maji na Usafi wa Mazingira. Globala Water Partinership inafanya kazi kwa niaba ya Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia mazingira (UNEP)
Imewekwa: Sep 06, 2020
Bodi za Mabonde zakabidhiwa pikipiki
Katibu Mkuu Wizara ya Maji Mhandisi Anthony Sanga amekabidhi pikipiki 100 kwa Bodi za Mabonde ya Maji nchini na kuwataka wazitumie vizuri kukusanya mapato na kutunza vyanzo vya maji.
Imewekwa: Sep 06, 2020
Poland kupiga tafu miundombinu ya maji Dar na Dodoma
Leo Septemba 1, 2020 Maafisa wa Wizara ya Maji wakiongozwa na Katibu Mkuu wa Wizara Mhandisi Anthony Sanga wamekutana na ujumbe kutoka Ubalozi wa Poland kwa ajili ya majadiliano maalumu yaliyolenga ushirikiano baina ya nchi hizo mbili katika kuimarisha sekta ya maji kwa miji ya Dodoma na Dar es Salaam.
Imewekwa: Sep 04, 2020