Wasifu

Stewart Mwanjala

Kaimu Mkurugenzi Msaidizi, Mipango na Bajeti.

Stewart Mwanjala

Stewart Mwanjala ni Mchumi Mwandamizi ambaye amehudumu Sekta ya Maji kwa zaidi ya miaka 18, ana uzoefu mkubwa kwenye masuala ya sera, bajeti na mipango.