Habari

Imewekwa: Jun, 21 2023

UTEUZI wa RM Dodoma

News Images

Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso (Mb) amefanya uteuzi wa Meneja Mkoa wa Dodoma wa Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA)

Aliyeteuliwa ni Mhandisi Mbaraka Rajabu Ally na uteuzi unaanza leo tarehe 21 Juni, 2023.

Kabla ya uteuzi Mhandisi Mbaraka Rajabu Ally alikuwa RUWASA mkoa wa Singida na anachukua nafasi ya Mhandisi Godfrey Kabula Mbabaye ambaye atapangiwa majukumu mengine.

Kitengo cha Mawasiliano