Wasifu

Eng. Mashaka Sitta

Kaimu Mkurugezi Msaidizi Uendeshaji na Matengenezo

Eng. Mashaka Sitta

Mhandisi Mashaka Sitta ni Mratibu wa Programu Endelevu ya Usambazaji Maji na Usafi wa Mazingira inayofadhiliwa na Benki ya Dunia inayotekelezwa katika mikoa 25 ya Tanzania bara kwa utaratibu wa lipa kwa Matokeo.