"

Albamu ya Video

Haya ndiyo mambo ya Rukwa

Mikakati ya Mkoa wa Rukwa ni kuhakikisha huduma ya Maji inamfikia kila mwananchi.

Imewekwa: Oct 05, 2020

Bodi za Wakurugenzi za Mamlaka za Maji: "Wajibikeni na fanyeni maamuzi" KM Maji, Mhandisi Sanga

Watendaji wa Mamlaka za Maji wametakiwa kutatua kero za wananchi badala ya kuzizoea na kuziona za kawaida. Agizo hilo limetolewa na Katibu Mkuu Wizara ya Maji Mhandisi Anthony Sanga.

Imewekwa: Oct 05, 2020

Bodi za Wakurugenzi wa Mamlaka za Maji zapata mafunzo ili kuimarisha huduma za maji nchini.

Bodi za Wakurugenzi wa Mamlaka za Maji zapata mafunzo ili kuimarisha huduma za maji nchini.

Imewekwa: Sep 23, 2020

Sikiliza ujumbe wa Katibu Mkuu-Maji, kwa Bodi za Wakurugenzi wa Mamlaka za Maji nchini

Sikiliza ujumbe wa Katibu Mkuu-Maji, kwa Bodi za Wakurugenzi wa Mamlaka za Maji nchini

Imewekwa: Sep 23, 2020

Huduma ya maji yasiyo na madini ya Fluoride yafikishwa shule ya wasichana Mwedo mkoani Arusha

wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana Mwedo wameipongeza serikali kupitia wizara ya maji kwa kuwezesha kukamilika kwa mradi wa kuondoa madini ya fluoride katika maji. Mradi huo uliogharimu kiasi cha shilingi milioni 17.5 umetekelezwa na kituo cha Utafiti wa madini ya Fluoride Ngurudoto.

Imewekwa: Sep 23, 2020

UN yaikubali TZ usimamizi wa Rasilimali Maji na Usafi wa Mazingira

Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Global Water Partinership Tanzania Dkt. Victor Kongo amesema Tanzania imefanya vizuri katika utekelezaji wa Malengo ya Maendeleo Endelevu ya Umoja wa Mataifa ya Usimamizi endelevu wa Rasilimali za maji na Usafi wa Mazingira. Globala Water Partinership inafanya kazi kwa niaba ya Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia mazingira (UNEP)

Imewekwa: Sep 06, 2020