Wizara
Hotuba Za Bajeti
Nifanyaje?
Maoni juu ya tovuti

Naibu Waziri Atoa Onyo kwa Meneja wa RUWASA Chato
Naibu Waziri wa Maji, Mhe. Mhandisi Maryprisca Mahundi (Mb) ametoa onyo kwa Meneja wa Wakala wa MajiSafi na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) Chato Mhandisi Andrew Kilembe... Soma zaidi

Mkandarasi Apewa Wiki Mbili Kurejesha Pampu
Naibu Waziri wa Maji, Mhe. Mhandisi MaryPrisca Mahundi (Mb) amemuagiza Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Geita Mhandisi Frank Changawa kuhakikisha mkandarasi wa awali al...... Soma zaidi

Serikali yasaini Mkataba wa Bilioni 24 kupeleka maji Tinde na Shelui
Serikali kupitia Wizara ya Maji, imesaini mkataba wa kutoa maji ziwa victoria kwenda katika mji wa Tinde wilayani Shinyanga na Mji mdogo wa Shelui wilayani Ilamba mkoani Singinda, wenye thamani ya Sh...... Soma zaidi
Advertisements
Karibu
Mnakaribishwa kwenye Tovuti ya Wizara ya Maji. Maji ni hitaji la msingi na haki kwa binadamu wote. Tafadhali yathamini, kuongeza matumizi yake na kuhifadhi kwa ajili ya mazingira. Kumbuka kwamba, maendeleo huja tu wakati kuna maji mengi yenye ubora. ...Soma zaidi