Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
- Ni maji ambayo yamehakikiwa ubora wake kifizikia, kikemikali na kibaolojia na kukidhi viwango vinavyokubalika kwa matumizi na usalama wa mlaji (mwananchi) na hayana athari za kiafya.
- Mwananchi akihitaji kupima maji kabla ya matumizi anapaswa atembelee maabara iliyoko karibu na eneo au mkoa anaoishi, ambapo atapata maelekezo na ushauri kulingana na matumizi husika.
- Huduma za kupima ubora wa maji zinapatikana maeneo yafuatayo kama ilivyoainishwa kwenye jedwali:
IDARA YA HUDUMA ZA UBORA WA MAJI
MAABARA ZA UBORA WA MAJI –MAHALI ZILIPO
| JINA LA MAABARA | MAHALI ILIPO | MIKOA INAYOHUDUMIWA |
| Arusha | Chagga Street Maji Yard | Arusha |
| Kilimanjaro (Rombo, Moshi, Hai, Siha, Moshi Vijijini) | ||
| Manyara (Babati, Mbulu, Hanang) | ||
| Bukoba | Kitekele Road, Kashai Street Maji Yard | Kagera |
| Geita (Chato) | ||
| Dar Es Salaam | Morogoro Road, Ubungo | Dar Es Salaam |
| Pwani | ||
| Dodoma | Mkapa Road, Uzunguni Street, Block B, Plot no. 9 DUWASA Compound | Dodoma |
| Manyara (Kiteto, Simanjiro) | ||
| Iringa | Kihesa/Kilolo Street TRM- Maji Office | Iringa |
| NJOMBE (Njombe, Makete, Ludewa Na Makambako) | ||
| Kigoma | Mnarani Area, Lake Tanganyika Basin Office | Kigoma |
| Tabora (Urambo, Kaliua, Tabora MC) | ||
| Mbeya | Sinde road, Maji Yard | Mbeya |
| Songwe | ||
| Morogoro | Mazimbu Road, Maji Yard | Morogoro |
| Mtwara | Railway Street Maji Yard | Mtwara |
| Lindi | ||
| Musoma | Nyerere road, Baruti Street Maji Yard | Mara |
| Mwanza | Igogo Street Maji Yard | Mwanza |
| Geita | ||
| Simiyu (Busega) | ||
| Singida | Utemini Street Maji Yard | Singida |
| Tabora (Igunga) | ||
| Manyara (Babati, Hanang) | ||
| Shinyanga | Mwanza Road Ushirika Street Maji Yard | Shinyanga |
| Tabora (Nzega, Tabora Tc, Uyui, Sikonge) | ||
| Simiyu (Meatu, Maswa, Bariadi) | ||
| Geita (Bukombe) | ||
| Songea | Mahenge Street Maji Yard | Ruvuma |
| Sumbawanga | Izia Street Maji Yard | Rukwa |
| Katavi | ||
| Tanga | Gofu Street Pangani Basin Office Near RC Office. | Tanga |
| Kilimanjaro ( Same, Mwanga) |

