Wasifu

Eng. Leonard Msenyele

Kaimu Mkurugenzi Msaidizi Usanifu na Usimamizi wa Miradi

Eng. Leonard Msenyele

Mhandisi Leonard Msenyele ni mbobevu katika fani ya uhandisi na mzoefu katika Sekta ya Maji kwa zaidi ya miaka 15, ambapo amefanikiwa kushika nafasi mbalimb ali za uongozi.