Wasifu

Florence Lawrence

Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini

Florence Lawrence

Ndugu Florence Lawrence anafanya kazi ya mawasiliano. Ni mhitimu wa Shahada ya Pili ya Mawasiliano ya Kimataifa kutoka Chuo cha Mawasiliano China (CUC), Shahada ya Sanaa kutoka Chuo Kikuu Huria cha Tanzania, Stashahada ya Juu ya Uandishi (Uhusiano wa Umma na Matangazo) kutoka iliyokua Shule ya Uandishi wa Habari Tanzania (TSJ).