Habari

Imewekwa: Jul, 04 2019

Mabadiliko ya Uteuzi wa Mameneja wa RUWASA Wilaya

News Images

Kuna mabadiliko katika uteuzi wa Mameneja wa RUWASA Wilaya. Meneja ya Wilaya ya Uyui aliyetangazwa awali ameondolewa na nafasi yake itajazwa punde.