Wasifu

Eng. Emmanuel Kalobelo

Naibu Katibu Mkuu

Eng. Emmanuel Kalobelo

Mhandisi Kalobelo ni mtaalam katika fani ya Uhandisi, aliyesajiliwa na Bodi ya Wahandisi (ERB). Mhandisi Kalobelo anao uzoefu mkubwa katika sekta ya umma, na menejimenti ya miradi.