Wasifu

Eng. Abbas Pyarali

Kaimu Mkurugenzi Msaidizi Usafi wa Mazingira

Eng. Abbas Pyarali

Mhandisi Abbas Pyrali ana uzoefu wa muda mrefu katika Sekta ya Maji kama mtumishi wa Wizara ya Maji na kwa nyakati tofauti amekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa mamlaka za maji tofauti.