Wasifu

Eng. Anthony Sanga

Katibu Mkuu

Eng. Anthony Sanga

Mhandisi Sanga amefanya kazi katika sekta ya maji kwa nafasi mbalimbali, hadi kuwa Mkurugenzi Mtendaji katika Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza (MWAUWASA).