Maoni juu ya tovuti

80.91%
5.19%
13.90%
29.17%
18.33%
52.50%
35.29%
13.24%
51.47%
Generic placeholder image
RUWASA Kumaliza Kero ya Maji Kata ya Rutamba

Serikali kupitia Wakala wa Usambazaji Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) inatekeleza mradi wa maboresho wa Mradi wa Maji wa Rutamba kwenye Halmashauri ya Mtama katika mkoa wa Lindi kwa lengo...... Soma zaidi

Imewekwa: 24th Sep 2020
Generic placeholder image
Matokeo ya Kazi Yetu ni Wananchi Kupata Maji-Mhandisi Kemikimba

Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Maji Mhandisi Nadhifa Kemikimba amewataka watendaji katika sekta ya maji nchini kuhakikisha matokeo ya kazi zao ni wananchi kupata huduma ya maji ya uhakika. ... Soma zaidi

Imewekwa: 24th Sep 2020
Generic placeholder image
Bilioni 24 Kuinua Kiwango cha Huduma ya Maji Mtwara Vijijini

Serikali imetenga kiasi cha Sh. Bilioni 24 kwa ajili ya kazi ya ujenzi wa miradi ya maji katika vijiji 205 ikiwa ni hatua ya utekelezaji wa ahadi ya kumaliza tatizo la upatikanaji wa huduma ya maji kw...... Soma zaidi

Imewekwa: 23rd Sep 2020

Advertisements

Dam Safety Guidelines

Soma zaidi

Sep 09, 2020
Tanzania Water Resources Atlas

Bofya kusoma zaidi Soma zaidi

Jul 22, 2020
Water Sector Status Report 2015 - 2020

Bofya hapa kwa taarifa... Soma zaidi

Jun 26, 2020

Karibu

Mnakaribishwa kwenye Tovuti ya Wizara ya Maji. Maji ni hitaji la msingi na haki kwa binadamu wote. Tafadhali yathamini, kuongeza matumizi yake na kuhifadhi kwa ajili ya mazingira. Kumbuka kwamba, maendeleo huja tu wakati kuna maji mengi yenye ubora. ...Soma zaidi

Vyanzo vya Maji Tanzania

Waliotembelea Tovuti