Swahili | English        Barua Pepe
 Maswali |  Viunganishi Muhimu | Ramani ya Tovuti | Wasiliana Nasi        
 
Kitengo cha Huduma za Sheria

Kitengo cha Huduma za Kisheria kinaongozwa na Mwanasheria Mkuu.

Kazi zake ni:

• Kutoa ushauri na misaada ya kisheria kwa Wizara kwa kutafsiri sheria, mikataba, makubaliano na mikataba ya manunuzi pamoja na nyaraka zote za kisheria.
• Inashiriki katika uandaaji wa miswada au sheria na sheria ndogo ndogo.
• Kusimamia mashtaka na kufuatilia kesi mahakamani pamoja na kutunza kumbukumbu za maamuzi ya mahakama.

 

.


 

   

   

  Programu /  Miradi /  Maelezo /  Zabuni
Nafasi za Kazi /  Hotuba /  Picha
Makala /  Takwimu /  Tafiti /  Nafasi za Uwekezaji