Swahili | English        Barua Pepe
 Maswali |  Viunganishi Muhimu | Ramani ya Tovuti | Wasiliana Nasi        
 
Kitengo cha Fedha na Uhasibu

Idara ya Fedha na Uhasibu inaongozwa na Mhasibu Mkuu.

Kazi zake ni:

Mishahara:

• Uandaaji wa maliopo ya mishahara kwa wakati
• Kuwasilisha makadirio ya mishahara ya watumishi.

Ofisi ya Malipo:

• Kupeleka orodha ya malipo hazina.
• Kukusanya hundi kutoka hazina.
• Kuhifadhi hundi na pesa taslimu.
• Kuandaa ripoti ya mwezi.
• Kutoa malipo ya pesa taslimu/Hundi kwa wafanyakazi au wateja/watoa huduma.
• Kuhifadhi orodha ya malipo.
• Kutunza daftari la malipo ya pesa taslimu.
• Kuandaa na kutoa malipo yote.

Mapato:

• Kukusanya mapato yote.
• Kusimamia mapato yote kulingana na kanuni na miongozo.
• Kukusanya kodi za mwaka, ada za maombi na malipo mengine.
• Kusimamia makusanyo ya mapato.

Pensheni:

• Kuandaa malipo ya pesheni kwa wakati.
• Kutuma kumbukumbu za pensheni.

Bajeti

• Kuandaa bajeti.
• Kusimamia matumizi.

 


 

   

   

  Programu /  Miradi /  Maelezo /  Zabuni
Nafasi za Kazi /  Hotuba /  Picha
Makala /  Takwimu /  Tafiti /  Nafasi za Uwekezaji