Swahili | English        Barua Pepe
 Maswali |  Viunganishi Muhimu | Ramani ya Tovuti | Wasiliana Nasi        
 
Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani

Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani kinaongozwa na Mkaguzi Mkuu wa Ndani

kazi zake ni:

• Kuandaa mpango mkakati wa ukaguzi.
• Kuratibu kazi za ukaguzi.
• Kutoa ushauri kwa Afisa Msuuli katika matumizi ya fedha.
• Kufanya ukaguzi wa vifungu vya fedha na wale wote wanaopokea fedha ya Wizara.
• Kuweka sawa mifumo ya uhasibu, uhakiki wa malipo na ukusanyaji wa risiti.
• Kufanya ukaguzi wa miradi ya maendeleo.
• Kupitia taarifa za ukaguzi wa ndani na nje kwa kushirikiana na uongozi wa juu Wizarani.
 


 

   

   

  Programu /  Miradi /  Maelezo /  Zabuni
Nafasi za Kazi /  Hotuba /  Picha
Makala /  Takwimu /  Tafiti /  Nafasi za Uwekezaji