Habari

Taarifa kwa Vyombo vya Habari - Uteuzi

Waziri wa Maji Mhe. Prof. Makame Mbarawa (Mb) amefanya uteuzi wa Wakurugenzi Watendaji wa Mamlaka za Maji za Kahama, Bukoba na Tabora... Soma zaidi

Imewekwa: Jul 15, 2019

Bilioni 3.2 Kutumika Kumaliza Tatizo la Maji Kibondo

Serikali imedhamiria kumaliza tatizo la maji katika mji wa Kibondo kwa kutumia Shilingi bilioni 1.2 kwa ajili ya ujenzi wa Mradi wa Maji wa Mabamba-Mkarazi utakaotoa huduma ya maji ya uhakika na kutosheleza kwa wananchi.... Soma zaidi

Imewekwa: Jul 12, 2019

Serikali yasaini Mkataba wa Euro 6.0 milioni na Serikali ya Ujerumani

Wizara ya Maji kwa niaba ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imetiliana saini Mkataba wa Euro 6.0 milioni na Serikali ya Ujerumani.... Soma zaidi

Imewekwa: Jul 12, 2019

Naibu Waziri Aweso Abaini Ubadhirifu Kwenye Mradi wa Maji Kasulu

Naibu Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Aweso (Mb) ametoa maelekezo ya kukamatwa kwa Meneja, Kwigize Venance na Mhasibu, Joshua Hendana waliokuwa wajumbe wa Kamati ya Jumuiya ya Watumia Maji ya Mradi wa Maji wa Heru Juu iliyovunjwa baada ya kubaini ubadhirifu wa fedha za mradi huo katika Wilaya ya Kasulu, mkoani Kigoma.... Soma zaidi

Imewekwa: Jul 11, 2019

Naibu Waziri Aweso Aridhishwa na Maendeleo ya Mradi wa Maji Manispaa ya Kigoma

Naibu Waziri wa Maji, Jumaa Aweso amewataka wahandisi wa maji nchini kusimamia ipasavyo ujenzi wa miradi ya maji katika maeneo yao na kutowaendekeza wakandarasi wasiokidhi matakwa ya mikataba na kusababisha miradi kushindwa kukamilika kwa wakati.... Soma zaidi

Imewekwa: Jul 10, 2019

Mkutano wa Saba wa Mwaka wa Bodi za Maji za Mabonde Wafanyika Kigoma

Mkutano wa Saba wa Mwaka wa Bodi za Maji za Mabonde Wafanyika Kigoma... Soma zaidi

Imewekwa: Jul 10, 2019