 |
|
|
|
|
|
 |
| |
| Picha |  |
Click on the thumb to view the photo
 |
Katibu Mkuu Wizara ya Maji na Umwagiliaji akiwasha moja ya magari aliyoyakabidhi kwa Sekretarieti za Mkoa, Halmashauri, Mabonde na Mamlaka za maji katika miji midogo |
 |
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji na Umwagiliaji akiwahutubia washiriki wa hafla ya makabidhiano ya vitendea kazi vinavyotolewa na programu ya maendeleo ya sekta ya maji ya WSDP. |
 |
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji na Umwagiliaji (kushoto) akikabidhi Pikipiki kwa mwakilishi wa Sekretarieti ya Mkoa na kulia ni Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Manunuzi. |
 |
Katibu Mkuu Wizara ya Maji na Umwagiliaji (kushoto) akikabidhi moja ya magari yaliyokabidhiwa kwa mwakilishi kutoka Mkoa wa Kagera Mhandisi Mshauri wa Maji Avitus Exavery. |
«Back to the list of Albums
|
|
|
|
|