 |
|
|
|
|
|
 |
| |
| Picha |  |
Click on the thumb to view the photo
 |
Wajumbe waliohudhuria Mafunzo ya namna ya kufanya majadiliano (Negotiations) wakati wa vikao na Mkutano ya Afrika Masharika yaliyofanyika Giraffe Hotel, Dar es salaam kuanzia tarehe 5-9 Januari 2010.
Mkutano huu uliratibiwa na Wizara ya Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki.
Wizara yetu iliwakilishwa na Ndugu Sylvester A. Temu Mkurugenzi Msaidizi wa Rasilimali za Maji (Maji Shirikishi)katika picha kutoka kushoto mstari wa nyuma wa kumi namoja, na Ndugu Stanley Matowo Mratibu wa Taifa wa shughuli za Bonde la Ziwa Victoria katika picha kutoka kushoto mstari wa nyuma wa nne
|
«Back to the list of Albums
|
|
|
|
|