 |
|
|
|
|
|
 |
| |
| Picha |  |
Click on the thumb to view the photo
 |
Waziri wa Maji na Umwagiliaji Prof.Mark J.Mwandosya akiwa katika picha ya pamoja na wadau mbalimbali wa maji waliopo katika Mkutano wa mwaka wa utekelzaji wa programu ya maji vijijini unaofanyika kwa siku mbili kuanzia Desemba 14 na 15,2009 katika kituo cha mikutano ya kimataifa cha AICC jijini Arusha. |
 |
Waziri wa Maji na Umwagiliaji Prof.Mark J.Mwandosya akiwa na Mkurugenzi Muendeshaji wa Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha AICC Bwana Elishilia Kaaya(kulia) wakati akiwasili katika kituo hicho kufungua rasmi Mkutano wa mwaka wa utekelzaji wa programu ya maji vijijini unaofanyika kwa siku mbili kuanzia Desemba 14 na 15,2009 jijini Arusha. |
 |
Waziri wa Maji na Umwagiliaji Prof.Mark J.Mwandosya akiondoka katika kituo hicho baada ya kufungua rasmi Mkutano wa mwaka wa utekelzaji wa programu ya maji vijijini unaofanyika kwa siku mbili kuanzia Desemba 14 na 15,2009 jijini Arusha(kushoto)ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji na Umwagiliaji Mhandisi Christopher N.Sayi. |
 |
Waziri wa Maji na Umwagiliaji Prof.Mark J.Mwandosya akiwa katika Mkutano wa mwaka wa utekelezaji wa programu ya maji vijijini unaofanyika kwa siku mbili kuanzia Desemba 14 na 15,2009 jijini Arusha katika ukumbi wa AICC (kulia) ni Katibu na Mkuu wa Wizara ya Maji na Umwagiliaji Mhandisi Christopher N.Sayi . |
«Back to the list of Albums
|
|
|
|
|