 |
|
|
|
|
|
 |
| |
| Picha |  |
Click on the thumb to view the photo
 |
Waziri wa Maji na Umwagiliaji Prof.Mark J.Mwandosya(wa pili kulia) na naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhandisi Christopher Chiza (wa pili kushoto) wakishiriki katika maandamano ya kuadhimisha miaka 10 ya ushirikiano wa Bonde la Mto Nile yaliyofanyika Desemba 6,2009 kuanzia viwanja vya Chuo cha Maji, Ubungo na kumalizika katika viwanja vya Mlimani City. |
 |
Waziri wa Maji na Umwagiliaji Prof.Mark J.Mwandosya akikata utepe kuashiria kuzinduliwa rasmi kwa maadhimisho ya ushirikiano wa Bonde la Mto Nile yanayofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Mlimani City kuanzia Desemba 6-8,2009. |
 |
Waziri wa Maji na Umwagiliaji akiongea na Waandishi wa Habari |
 |
Waziri wa Maji na Umwagiliaji Prof.Mark J.Mwandosya akihutubia washiriki(hawapo pichani) wa maadhimisho ya miaka 10 ya kutimiza ushirikiano wa Bonde la Mto Nile katika viwanja vya ukumbi wa Mikutano wa Mlimani City Desemba 6,2009.Katika Hotuba yake Waziri Mwandosya alisisitiza kuendelezwa kwa ushirikiano kutoka kwa nchi wanachama wa ushirikino wa Bonde hilo. |
«Back to the list of Albums
|
|
|
|
|