Swahili | English        Barua Pepe
 Maswali |  Viunganishi Muhimu | Ramani ya Tovuti | Wasiliana Nasi        
 
Picha

Click on the thumb to view the photo

Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhandisi Christopher Chiza akihutubia wananchi katika mkutano wa hadhara siku ya kilele cha Siku ya Ziwa Victoria Novemba 29, 2009 katika viwanja vya Kliniki, barabara ya Makongoro
Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhandisi Christopher Chiza akizindua jengo la ofisi za Mradi wa Hifadhi ya Mazingira ya Ziwa Victoria (LVEMP 11) Novemba 28, 2009.Jengo hilolipo eneo la Igogo ,Mwanza.
Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhandisi Christopher Chiza akiongea na wafanyakazi wa Mradi Hifadhi ya Mazingira ya Ziwa Victoria (LVEMP 11) hawapo pichani,baada ya kuzindua jengo jipya la ofisi hizo Novemba 28,2009.
Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhandisi Christopher Chiza akitia saini kitabu cha wageni baada ya kuzindua ofisi za Mradi wa Hifadhi za Mazingira ya Ziwa Victoria(LVEMP 11),Novemba 28,2009.
Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhandisi Christopher Chiza akikagua timu za mpira wa miguu zilizoshiriki maadhimisho ya Siku ya Ziwa Victoria katika Viwanja vya Nyamagana jijini Mwanza,Novemba 28,2009.

«Back to the list of Albums


 

   

   

  Programu /  Miradi /  Maelezo /  Zabuni
Nafasi za Kazi /  Hotuba /  Picha
Makala /  Takwimu /  Tafiti /  Nafasi za Uwekezaji