Katibu Mkuu Wizara ya Maji na Umwagiliaji anayofuraha kuwajulisha wafuatao hapa chini ambao walifanya usaili wa nafasi za kazi mbalimbali wapige ripoti kwa mkurugenzi wa utawala na Utumishi kuanzia tarehe 03/05/2010, wakiwa na vyeti halisi vya kuhitimu Elimu ya Sekondari na kuendelea ili waweze kukamilisha taratibu za ajira.
Kwa maelezo zaidi bonyeza hapa