Swahili | English        Barua Pepe
 Maswali |  Viunganishi Muhimu | Ramani ya Tovuti | Wasiliana Nasi        
 
Hotuba

Hotuba ya waziri ya Mkutano Mkuu wa 12 wa Mwaka wa Mamlaka za Majisafi na Majitaka Mijini

Waziri wa Maji na Umwagiliaji amehudhuria kwenye Mkutano Mkuu wa 12 Mwaka wa Mamlaka za Majisafi na Majitaka Mijini Tarehe 27 Aprili 2010 Mjini Musoma.

Kupata hotuba bonyeza hapa


Hotuba ya Wizara ya Maji na Umwagiliaji

Prof. Mark J. Mwandosya (Mb), akiwasilisha Bungeni Mpango na Makadirio ya Matumizi ya Fedha ya Wizara ya Maji na Umwagiliaji kwa Mwaka 2009/2010.

Mheshimiwa Spika, baada ya kupokea taarifa iliyowasilishwa leo hapa Bungeni na Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Kilimo, Maji na Mifugo, naomba kutoa hoja kwamba sasa Bunge lako Tukufu likubali kujadili na kupitisha makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Maji na Umwagiliaji kwa mwaka wa fedha 2009/2010.

Kwa Maelezo zaidi kuhusu Hotuba bonyeza hapa


Hotuba za Waziri



Waziri akabidhi baadhi ya Halmashauri Magari

Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe. Prof Mark Mwandosya (Mb), ametoa hotuba wakati wa kukabidhi kwa baadhi ya Halashauri Magari 61 na Scanner 56 za kutekeleza Programu ya Maendeleo ya Sekta ya Maji , tarehe 1 Machi, 2010
Kupata hotuba hii bonyeza hapa
 



 

   

   

  Programu /  Miradi /  Maelezo /  Zabuni
Nafasi za Kazi /  Hotuba /  Picha
Makala /  Takwimu /  Tafiti /  Nafasi za Uwekezaji