Swahili | English        Barua Pepe
 Maswali |  Viunganishi Muhimu | Ramani ya Tovuti | Wasiliana Nasi        
 
Taarifa kwa Vyombo vya Habari



Taarifa Kuhusu Kuwekwa Sumu ya Kuulia Samaki

Wizara ilipata taarifa kupitia vyombo vya habari (hasa magazeti ya Dar Leo na Alasiri ya tarehe 06/10/2009) kuwa maji ya mto Ruvu ambao ni chanzo kikuu cha maji kwa Jiji la Dar es Salaam yamewekwa sumu.
Kwa upande wa DAWASCO, vipimo vya awali vilionyesha kutokuwepo na dalili yoyote ya sumu kwenye chanzo cha maji Ruvu Juu kwani dawa zote za kutibia maji na hasa chlorine ziliendelea kufanya kazi kama kawaida na viumbe wote hai eneo hilo hawakuwa wamepata madhara yoyote.
Kwa taarifa zaidi bonyeza hapa



 

   

   

  Programu /  Miradi /  Maelezo /  Zabuni
Nafasi za Kazi /  Hotuba /  Picha
Makala /  Takwimu /  Tafiti /  Nafasi za Uwekezaji