 |
Rais Jakaya Kikwete (kushoto) akiwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji na Umwagiliaji Mhandisi Christopher Sayi , baada ya kumuapisha Oktoba 21, 2009.
|
| Kuapishwa kwa Katibu Mkuu |
 |
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji na Umwagiliaji Mhandisi Christopher N. Sayi akiwahutubia washiriki wa hafla ya makabidhiano ya vitendea kazi vilivyotolewa na programu ya maendeleo ya sekta ya maji ya WSDP. |
| Katibu Mkuu akabidhi Vitendea Kazi vya Programu ya WSDP |
 |
Katika picha wa saba kutoka kulia ni Ndg. Sylvester A. Matemu, Mkurugenzi Msaidizi Maji Shirikishi (WMUM) na wa nane kutoka mwisho kulia ni Mhe.Nyasugara P. Kadege, Balozi wa Tanzania nchini Kenya. |
| Ujumbe wa Tanzania uliohudhuria Mkutano wa pili wa wadau wa Bonde la Ziwa Victoria |
 |
Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhandisi Christopher Chiza akihutubia wananchi katika mkutano wa hadhara siku ya kilele cha Siku ya Ziwa Victoria Novemba 29, 2009 katika viwanja vya Kliniki, barabara ya Makongoro |
| Wizara ya Maji na Umwagiliaji yaadhimisha Siku ya Ziwa Victoria Novemba 29, 2009 jijini Mwanza. |
 |
Waziri wa Maji na Umwagiliaji Prof.Mark J.Mwandosya(wa pili kulia) na Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhandisi Christopher Chiza (wa pili kushoto) wakishiriki katika maandamano ya kuadhimisha miaka 10 ya ushirikiano wa Bonde la Mto Nile yaliyofanyika Desemba 6,2009 kuanzia viwanja vya Chuo cha Maji, Ubungo na kumalizika katika viwanja vya Mlimani City |
| Waziri wa Maji na Umwagiliaji na Naibu Waziri wakishiriki katika maandamano |
 |
Waziri wa Maji na Umwagiliaji Prof.Mark J.Mwandosya akisoma hotuba ya ufunguzi wa Mkutano wa mwaka wa utekelzaji wa programu ya maji vijijini unaofanyika kwa siku mbili kuanzia Desemba 14 na 15,2009 katika kituo cha mikutano ya kimataifa cha AICC jijini Arusha. |
| Waziri wa Maji na Umwagiliaji Prof.Mark J.Mwandosya akisoma hotuba ya ufunguzi |
 |
Waziri wa Maji na Umwagiliaji alipotembelea vyanzo vya maji vya Kimbiji,Kisarawe |
| Waziri alipotembelea vyanzo vya maji vya Kimbiji,Kisarawe |
 |
Wajumbe waliohudhuria Mafunzo ya namna ya kufanya majadiliano (Negotiations) wakati wa vikao na Mkutano ya Afrika Masharika yaliyofanyika Giraffe Hotel, Dar es salaam kuanzia tarehe 5-9 Januari 2010. |
| Wajumbe wliohudhuria Mafunzo ya Majadiliano |
 |
Waziri wa Maji na Umwagiliaji Prof.Mark J. Mwandosya akiwa katika hafla ya kukabidhi jumla ya magari 61 yaliyotolewa kupitia programu ya Maendeleo ya Sekta ya Maji katika Halmashauri mbalimbali hapa nchini,hafla hiyo imefanyika Machi 1, 2010 Wizarani Ubungo. |
| Waziri wa Maji na Umwagiliaji akabidhi jumla ya Magari 61 kwa Halmashauri |
 |
Mh.Christopher Chiza azindua mradi wa Maji kibaha, kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Kibaha Halima Kihemba |
| Mh.Christopher Chiza azindua mradi wa Maji kibaha |
 |
Ziara ya Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mheshimiwa Prof. Mark Mwandosya nchini Australia na Indonesia |
| Ziara ya Waziri nchini Australia na Indonesia |
 |
Ziara ya Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mheshimiwa Prof. Mark Mwandosya nchini Australia na Indonesia |
| Ziara ya Waziri nchini Australia na Indonesia |
 |
Ndugu Mbogo Futakamba akiapa kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji na Umwagiliaji |
| Kuapishwa kwa Naibu Katibu Mkuu |
 |
Eneo la Wizara ya Maji na Umwagiliaji katika Viwanja vya Maonyesho ya Nanenene- Nzuguni Mjini Dodoma. |
| Nanenene-2010 |
 |
Mh. Celina O. Kombani (wa kwanza kulia) akipata maelezo katika moja ya banda la Wizara, wa pili kushoto ni Zonal Irrigation Engineer kanda ya Dodoma |
| Mhe. Celina O. Kombani -Nanenane, Dodoma |
 |
Baadhi ya Wafanyakazi wa Wizara wakifurahia ushindi mara baada ya matokeo kutangazwa |
| Maonyesho ya Nanenane yafikia kilele |