Swahili | English        Mail Services  |  Water Sector MIS
 FAQs |  Useful Links | Site Map | Contact Us        
 
Photo Gallery

Click on the thumb to select the album.

Rais Jakaya Kikwete (kushoto) akiwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji na Umwagiliaji Mhandisi Christopher Sayi , baada ya kumuapisha Oktoba 21, 2009.
Kuapishwa kwa Katibu Mkuu
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji na Umwagiliaji Mhandisi Christopher N. Sayi akiwahutubia washiriki wa hafla ya makabidhiano ya vitendea kazi vilivyotolewa na programu ya maendeleo ya sekta ya maji ya WSDP.
Katibu Mkuu akabidhi Vitendea Kazi vya Programu ya WSDP
Waziri wa Maji na Umwagiliaji Prof.Mark J.Mwandosya(wa pili kulia) na Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhandisi Christopher Chiza (wa pili kushoto) wakishiriki katika maandamano ya kuadhimisha miaka 10 ya ushirikiano wa Bonde la Mto Nile yaliyofanyika Desemba 6,2009 kuanzia viwanja vya Chuo cha Maji, Ubungo na kumalizika katika viwanja vya Mlimani City
Waziri wa Maji na Umwagiliaji na Naibu Waziri wakishiriki katika maandamano
Waziri wa Maji na Umwagiliaji Prof.Mark J.Mwandosya akisoma hotuba ya ufunguzi wa Mkutano wa mwaka wa utekelzaji wa programu ya maji vijijini unaofanyika kwa siku mbili kuanzia Desemba 14 na 15,2009 katika kituo cha mikutano ya kimataifa cha AICC jijini Arusha.
Waziri wa Maji na Umwagiliaji Prof.Mark J.Mwandosya akisoma hotuba ya ufunguzi
Waziri wa Maji na Umwagiliaji alipotembelea vyanzo vya maji vya Kimbiji,Kisarawe
Waziri alipotembelea vyanzo vya maji vya Kimbiji,Kisarawe
Waziri wa Maji na Umwagiliaji Prof.Mark J. Mwandosya akiwa katika hafla ya kukabidhi jumla ya magari 61 yaliyotolewa kupitia programu ya Maendeleo ya Sekta ya Maji katika Halmashauri mbalimbali hapa nchini,hafla hiyo imefanyika Machi 1, 2010 Wizarani Ubungo.
Waziri wa Maji na Umwagiliaji akabidhi jumla ya Magari 61 kwa Halmashauri
Ziara ya Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mheshimiwa Prof. Mark Mwandosya nchini Australia na Indonesia
Ziara ya Waziri nchini Australia na Indonesia
Ziara ya Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mheshimiwa Prof. Mark Mwandosya nchini Australia na Indonesia
Ziara ya Waziri nchini Australia na Indonesia
Ndugu Mbogo Futakamba akiapa kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji na Umwagiliaji
Kuapishwa kwa Naibu Katibu Mkuu
Eneo la Wizara ya Maji na Umwagiliaji katika Viwanja vya Maonyesho ya Nanenene- Nzuguni Mjini Dodoma.
Nanenene-2010
Mh. Celina O. Kombani (wa kwanza kulia) akipata maelezo katika moja ya banda la Wizara, wa pili kushoto ni Zonal Irrigation Engineer kanda ya Dodoma
Mhe. Celina O. Kombani -Nanenane, Dodoma
Baadhi ya Wafanyakazi wa Wizara wakifurahia ushindi mara baada ya matokeo kutangazwa
Maonyesho ya Nanenane yafikia kilele
Waziri wa Maji akizindua Jengo la Mhandisi wa Maji wa Wilaya ya Igunga.
Ziara ya Waziri Mkoani Tabora
Mh .Waziri wakiongozana na Mzee Sabodo ili kuona Shule ya El-Mutazir Seminary iliyojengwa na baba yake mzazi Mzee Sabodo.
Waziri wa Maji amshukuru Bw. Mustapha Sabodo
Waziri wa Maji Prof.Mark Mwandosya akisaini makubalianno hayo huku Katibu Mkuu wa Wizara ya Umwagiliaji na Maendeleo ya Maji ya Malawi Bwana Sandram Maweru (kulia) akishuhudia
Tanzania na Malawi Kuendeleza Bonde la Mto Songwe
Waziri Mwandosya akiendesha moja ya Magari manne ya kubeba Majitaka aliyoyakabidhiwa kwa MWAUSA
Maadhimisho ya Maji Wiki
Waziri wa Maji Mh.Mark Mwandosya akizindua rasmi Mradi wa Maji Usagara Wilayani Misungwi
Waziri wa Maji azindua mradi wa Maji Usagara Wilayani Misungwi
Rais akisalimiana na Viongozi wa Wizara mara baada ya kuwasili Makao Makuu ya Wizara ya Maji
Mh. Jakaya Mrisho Kikwete atembelea Wizara ya Maji
Waziri wa Maji Prof.Mark Mwandosya(Kulia) akifanya mazungumzo na Mtaalam anayeshughulikia Rasilimali za Maji kutoka Benki ya Dunia Bw,Rafik Hirji ofisini kwake Ubungo jijini Dar es salaam. Mazungumzo hayo yalijikita zaidi katika kufanyika tafiti kwenye ziwa Tanganyika na hali ya upatikanaji wa Rasilimali za maji katika eneo hilo.
Waziri wa Maji afanya mazungumzo na Mtaalam wa Rasilimali za Maji kutoka Benki ya Dunia
Rais Wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Inj.Bashir Mlindoko kuwa Naibu Katibu Mkuu mpya wa Wizara ya Maji IKULU Dar Es Salaam tarehe 30/04/2011.
Kuapishwa kwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji
Baadhi ya Wananchi waliotembelea Maonyesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma viwanja vya Mnazimmoja wakipata maelezo kutoka katika banda la Wizara ya Maji
Maonyesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma 2011
Poster shows the Venue and dates of the Workshop
Lake Victoria Environment Management Project -Stakeholders Workshop
Rais wa Serikali ya Zanzibar akibonyeza kitufe kuashiria ufunguzi rasmi wa Maonesho ya Miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania Bara
Rais wa Serikali ya Zanzibar afungua rasmi Maonesho
Waziri wa Maji akiongea na waandishi wa habari katika ukumbi wa mikutano wa Wizara baada ya kutoka India kwa matibabu
Waziri wa Maji akiongea na waandishi wa habari katika ukumbi wa mikutano wa Wizara
Mkutano wa Viongozi wa Serikali na Wawakilishi wa Taasisi za Kiraia Kuhusu Mpango wa Uwazi Katika Uendeshaji wa Shughuli za Serikali
Mkutano wa Viongozi wa Serikali na Wawakilishi wa Taasisi za Kiraia Kuhusu Mpango wa Uwazi Katika U


 

   

   

  Programmes /  Projects /  Notices /  Tenders
Vacancies /  Speeches /  Photo Gallery
Features /  Statistics /  Research /  Investiment Opportunities