Swahili | English        Barua Pepe
 Maswali |  Viunganishi Muhimu | Ramani ya Tovuti | Wasiliana Nasi        
 
Maswali

Umuhimu wa maji

Maji ni muhimu kwa maisha na mazingira, ni muhimu katika shughuli za kiuchumi na kijamii, yanagusa nyanja zote za maisha ya binadamu, hii ni pamoja na: matumizi ya nyumbani, mifugo, uvuvi, wanyamapori, viwanda, nishati, burudani na shughuli zingine za kijamii na kiuchumi. Maji ni nguzo muhimu katika kupunguza umaskini kama vile usalama wa chakula, usafi wa mazingira na majumbani. Upatikanaji wa majisafi na salama hukuza kiwango cha maisha ilhali ukosefu wa majisafi na salama husababisha kushuka kwa kiwango cha maisha bora pamoja na umri wa kuishi.



 

   

   

  Programu /  Miradi /  Maelezo /  Zabuni
Nafasi za Kazi /  Hotuba /  Picha
Makala /  Takwimu /  Tafiti /  Nafasi za Uwekezaji