Habari

WAKAZI WA CHAMWINO WALIA NA TATIZO LA MABWAWA YA UMWAGILIAJI KUJAA TOPE

​Wakazi wa Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino, mkoani Dodoma wameungana na viongozi wao kumlilia Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Mhandisi Isack Kamwelwe kuwatatulia tatizo la kujaa tope kwenye mabwawa yanayotumika kwa ajili ya kilimo cha umwagiliaji yaliyopo Buigiri na Chalinze.... Soma zaidi

Imewekwa: May 14, 2018

KAMATI YA KILIMO, MIFUGO NA MAJI YAKAGUA MIRADI YA MAJI KIGOMA

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji imefanya ziara ya kutembelea mkoa wa Kigoma kwa ajili ya kukagua miradi ya maji na umwagiliaji inayotekelezwa na Wizara ya Maji na Umwagiliaji kwa lengo la kujionea maendeleo na changamoto ya kazi zinazofanywa na wizara hiyo kuelekea Bunge la Bajeti Mwaka 2018/19.... Soma zaidi

Imewekwa: May 14, 2018

NAIBU WAZIRI AWESO AKAMATA WEZI WA MAJI MOROGORO

Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Jumaa Aweso amekamata Kiwanda cha Nguo cha 21st Century kilichopo mkoani Morogoro kwa wizi wa maji, alipofika kiwandani hapo kwa kushtukiza mara baada ya kupata taarifa kuwa kinafanya wizi wa maji na kuihujumu Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Morogoro (MORUWASA).... Soma zaidi

Imewekwa: May 03, 2018

WAZIRI KAMWELWE AKUTANA NA BALOZI WA UJERUMANI

Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Mhandisi Isack Kamwelwe amekutana na Balozi wa Ujerumani nchini Tanzania, Dkt. Detlef Wachter na kuzungumzia ushirikiano baina ya nchi hizo mbili katika kuinua kiwango cha huduma ya maji na usafi wa mazingira nchini. ... Soma zaidi

Imewekwa: May 03, 2018