Maoni juu ya tovuti

66.45%
8.74%
24.81%
27.87%
13.11%
59.02%
36.00%
8.00%
56.00%
Generic placeholder image
Naibu Waziri Aweso Aridhishwa na Utekelezaji wa Mradi Mkubwa wa Maji Arusha

Naibu Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Aweso (Mb) amemtaka mkandarasi kukamilisha ujenzi wa tenki la maji lenye ukubwa wa lita milioni kumi lililopo Seed Farm, Ngaramtoni ifikapo mwezi kumi na maji yaanze k...... Soma zaidi

Imewekwa: 22nd Aug 2019
Generic placeholder image
Serikali Kutumia Wataalam wa Ndani Kutekeleza Miradi ya Maji

Naibu Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Aweso (Mb) amesema Serikali imedhamiria kutumia zaidi wataalam wake wa ndani katika utekelezaji wa ujenzi wa miradi ya maji baada ya mafanikio makubwa yaliyopatikana k...... Soma zaidi

Imewekwa: 21st Aug 2019
Generic placeholder image
Jumuiya Zaagizwa Kukabidhi Maeneo Yaliyotangazwa na Serikali Kuwa Maeneo ya Mamlaka za Maji

Naibu Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Aweso (Mb) amezitaka jumuiya, taasisi, vikundi au mtu yeyote anayetoa huduma ya maji katika eneo lililotangazwa na Serikali kuwa eneo la Mamlaka ya Majisafi na Usafi w...... Soma zaidi

Imewekwa: 20th Aug 2019

Advertisements

Uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa RUWASA

Soma zaidi

Aug 05, 2019

Karibu

Mnakaribishwa kwenye Tovuti ya Wizara ya Maji. Maji ni hitaji la msingi na haki kwa binadamu wote. Tafadhali yathamini, kuongeza matumizi yake na kuhifadhi kwa ajili ya mazingira. Kumbuka kwamba, maendeleo huja tu wakati kuna maji mengi yenye ubora. ...Soma zaidi

Vyanzo vya Maji Tanzania

Waliotembelea Tovuti