Swahili | English        Barua Pepe
 Maswali |  Viunganishi Muhimu | Ramani ya Tovuti | Wasiliana Nasi        
 
Dhima & Dira

 Dira

Dira ya Wizara ya Maji na Umwagiliaji ni kuwa na mfumo endelevu wa kusimamia na kuendeleza rasilimali za maji utakaoleta manufaa ya kijamii na kiuchumi na kuimarisha sekta ya umwagiliaji kwa lengo la kuongeza uzalishaji, kuongeza pato la taifa na hivyo kuchangia katika kupunguza umaskini.

Dhamira

Dhamira ya Wizara ni kuhakikisha rasilimali za maji zinasimamiwa, zinaendelezwa na zinatumika kwa njia endelevu kwa kuwashirikisha wadau wote na kwa kuzingatia mahitaji ya sekta mbalimbali kupitia uboreshaji wa miundombinu ya usambazaji majisafi, uondoaji wa majitaka na kuwezesha mapinduzi ya sekta ya kilimo kutumia umwagiliaji kwa lengo la kuongeza uzalishaji na hivyo kuongeza kipato cha mwananchi.

 


 

   

   

  Programu /  Miradi /  Maelezo /  Zabuni
Nafasi za Kazi /  Hotuba /  Picha
Makala /  Takwimu /  Tafiti /  Nafasi za Uwekezaji