| Mkataba wa Huduma kwa Mteja |  |
Rasimu ya Mkataba wa Huduma kwa Mteja
Mkataba wa Huduma kwa Mteja ni maazimio ya ahadi za Taasisi za utendaji wa ufanisi kwa umma. Serikali ya Tanzania imetambua umuhimu wa kutumia Mkataba wa Huduma kwa Mteja kama dhana ya kuleta mabadiliko chanya katika uwajibikaji wa watendaji wake kwa umma. Hatua hii ya Serikali kuanzisha mabadiliko ya utendaji kupitia Mkataba wa Huduma kwa Mteja, ni changamoto kwa vyombo vyote vya umma kuwa na Mkataba wa Huduma kwa Mteja.
Kwa maelezo zaidi bonyeza hapa
|