Swahili | English        Barua Pepe
 Maswali |  Viunganishi Muhimu | Ramani ya Tovuti | Wasiliana Nasi        
 
Mafanikio

 Mafanikio katika Sekta  ya  Maji na Umwagiliaji katika Kipindi cha  miaka mitatu, 2005 2008 chini ya Serikali ya Awamu ya Nne.

Maendeleo ya Sekta ya Maji kama ilivyoainishwa kwenye Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka
2005 yanazingatia Dira ya Taifa ya Maendeleo 2025, Malengo ya Milenia na Mkakati wa Kukuza
Uchumi na Kupunguza Umaskini Tanzania (MKUKUTA). Dira ya Taifa ya Maendeleo, inalenga
kuwapatia wananchi wote waishio vijijini na mijini huduma ya maji safi na salama ifikapo
mwaka 2025. Utekelezaji wa Dira hiyo umegawanywa katika malengo ya muda wa kati na muda
mfupi. Katika muda wa kati, Serikali imeridhia Malengo ya Kimataifa ya Milenia ambayo kwa
sekta ya maji ni kupunguza kwa asilimia 50 idadi ya watu wasio na huduma ya maji safi na
salama na huduma ya usafi wa mazingira na kuweka mfumo shirikishi wa usimamizi wa
rasilimali za maji ifikapo mwaka 2015.
Kwa lengo la kuhakikisha tunafikia malengo

Kwa Melezo zaidi Bonyeza hapa


 

   

   

  Programu /  Miradi /  Maelezo /  Zabuni
Nafasi za Kazi /  Hotuba /  Picha
Makala /  Takwimu /  Tafiti /  Nafasi za Uwekezaji