Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Waziri wa Maji na Umwagiliaji Akutana na Balozi wa Uingereza

Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Mhandisi Isack Kamwelwe akiwa katika picha ya pamoja na Barozi wa Uingereza Bi. Sarah Cooke, Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji na Umwagiliaji Profesa Kitila Mkumbo na Mkuu Idara ya Maendeleo ya Kimataifa (Department for International Development – DFID) Bi. Beth Arthy.