Wizara
Hotuba Za Bajeti
Nifanyaje?
Maoni juu ya tovuti

Naibu Waziri Aweso Awataka Wataalamu wa Sekta ya Maji Kutumia Utaalamu wao Kutatua Kero za Wananchi
Naibu Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Aweso amewataka wataalamu wote wa Sekta ya Maji nchini kutumia taaluma zao vizuri kwa kutatua kero za wananchi, jambo litakalomaliza malalamiko ya mara kwa mara.... Soma zaidi

Naibu Waziri Aweso Aipongeza IRUWASA kwa Kazi Nzuri
Naibu Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Aweso ameipongeza Mamlaka ya Maji ya mjini Iringa (IRUWASA) kwa kazi nzuri inayofanya katika kutoa huduma ya majisafi kwa manispaa ya mji wa Iringa kwa asilimia 96.... Soma zaidi

Mamlaka za Maji Nchini Zatakiwa Kufanya Kazi kwa Uadilifu
Waziri wa Maji, Mh. Profesa Makame Mbarawa amezitaka Mamlaka za Maji nchini kufanya kazi kwa uadilifu na kujiendesha kibiashara ili kuachana na zana ya kutegemea fedha au ruzuku kutoka Wizarani. Kwa m...... Soma zaidi
SERIKALI KUHAMASISHA SEKTA BINAFSI KUSHIRIKI KATIKA MAENDELEO YA SEKTA YA MAJI
Tunapenda kuujulisha umma kuwa Wizara ya Maji na Umwagiliaji kwa kushirikiana na Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji na Washirika wa Maendeleo wa Sekta ya Maji wam...... Soma zaidi
Advertisements
Registered Engineers: 30 January, 2019
At its 86TH Ordinary Board Meeting Held on 30 January, 2019 with Eng. Prof. N... Soma zaidi
First call for Abstracts/Call for Contributions 1 st Maji (Water) Week Annual Scientific Conference - 2019
First call for Abstracts/Call for Contributions 1 st Maji (Water) Week Annual Scientific Conference - 2019
Soma zaidiKaribu
Mnakaribishwa kwenye Tovuti ya Wizara ya Maji. Maji ni hitaji la msingi na haki kwa binadamu wote. Tafadhali yathamini, kuongeza matumizi yake na kuhifadhi kwa ajili ya mazingira. Kumbuka kwamba, maendeleo huja tu wakati kuna maji mengi yenye ubora. ...Soma zaidi