Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tanzania yashiriki Mkutano wa Mazingira wa Nchi za Mashariki ya Kati na Afrika

Swahili

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji na Umwagiliaji, Inj. Emmanuel Kalobelo (wa tatu kutoka kulia), Afisa Mtendaji Mkuu wa DAWASA, Inj. Archard Mutalemwa (wa pili kulia), Mchumi wa Wizara ya Maji na Umwagiliaji, Remigius Mazigwa (wa kwanza kulia), wakiwa kwenye picha ya pamoja na Naibu Waziri wa Mazingira wa Korea Kusini, Dkt. Jeong Yeon-man, (wa tatu kushoto) akiwa na wasaidizi wake baada ya makubaliano ya kuendeleza ushirikiano kati ya Tanzania na Korea katika masuala ya maji na umwagiliaji.

Photo: