Maoni juu ya tovuti

73.76%
7.16%
19.08%
29.25%
17.92%
52.83%
35.59%
15.25%
49.15%
Generic placeholder image
Naibu Waziri Maji Awataka Wataalam Kuachana na Michakato

Naibu Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Aweso (Mb) amewataka wataalam wa Sekta ya Maji nchini kuachana na michakato isiyo na ulazima kwa kuwa imekuwa ikikwamisha Serikali katika utekelezaji wake wa miradi ya...... Soma zaidi

Imewekwa: 15th Jan 2020
Generic placeholder image
Mradi wa Maji Mbalika Kukamilika Mwezi Machi, 2020

Naibu Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Aweso (Mb) ameridhishwa na maendeleo ya mradi wa upanuzi wa mtandao wa maji ya Ziwa Victoria kutoka tenki la maji la Mabale kwenda katika vijiji vya Nyang’homango, Ise...... Soma zaidi

Imewekwa: 15th Jan 2020
Generic placeholder image
Serikali Kuanzisha Mamlaka ya Maji katika Mji Mdogo wa Lamadi

Naibu Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Aweso (Mb) ameelekeza ufanyike utaratibu wa kuanzishwa kwa Mamlaka ya Maji kwa Mji wa Lamadi katika Halmashauri ya Wilaya ya Busega, mkoani Simiyu itakayosimamia utoaj...... Soma zaidi

Imewekwa: 15th Jan 2020

Advertisements

Jarida Tando: Maji Tanzania Toleo Na. 12

Bofya ki... Soma zaidi

Dec 25, 2019
MARUDIO: Nafasi ya Mwenyekiti wa Bodi ya Maji Bonde la Ziwa Tanganyika

Bofya hapa kwa t... Soma zaidi

Dec 23, 2019
Usajili wa Washiriki wa Wiki ya Maji 2020

Bofya hapa kwa taarifa na kujisajili Soma zaidi

Dec 21, 2019

Karibu

Mnakaribishwa kwenye Tovuti ya Wizara ya Maji. Maji ni hitaji la msingi na haki kwa binadamu wote. Tafadhali yathamini, kuongeza matumizi yake na kuhifadhi kwa ajili ya mazingira. Kumbuka kwamba, maendeleo huja tu wakati kuna maji mengi yenye ubora. ...Soma zaidi

Vyanzo vya Maji Tanzania

Waliotembelea Tovuti