Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Magufuli aweka Mawe ya Msingi Ujenzi wa Miradi ya Maji na Kufungua Miradi iliyokamilika Kigoma na Tabora

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli na Balozi wa India Nchini Mhe Sandeep Arya,Wakiteta Jambo mara Baada ya Rais Kuweka Jiwe la Msingi na Ufunguzi rasmi wa mradi wa Maji toka Ziwa Victoria Kwenda Kwenye Mji wa Tabora,Igunga na Nzega Julai 24,2017.