Wizara ya Maji na Umwagiliaji

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Karibu

Mnakaribishwa kwenye Tovuti ya Wizara ya Maji. Maji ni hitaji la msingi na haki kwa binadamu wote. Tafadhali yathamini, kuongeza matumizi yake na kuhifadhi kwa ajili ya mazingira. Kumbuka kwamba, maendeleo huja tu wakati kuna maji mengi yenye ubora.

Matukio

Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Jumaa Aweso ameagiza vyombo vya dola kufanya uchunguzi kubai

Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Mhandisi Isack Kamwelwe akiwa katika picha ya pamoja na Barozi wa

Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Mhandisi Kamwelwe amekutana na Balozi wa Ujerumani nchini Tanzania